Kushangilia England ni kama kubeba bata atakunyea muda wowote

Ligi ya Uingereza ni kama ya Bongo. Yaani ni ligi yenye mvuto kwa wachezaji walio wengi...

Lakini linapokuja suala la local players... bamna kitu.
 
Mimi ni mshabiki wa England,naipenda Sana lakini nafasi yao ya kuchukua ubingwa haupo hata kidogo. Sijui ilikuaje mpaka nikaipenda ila nimeshindwaga kuhamia kwingineko
 
Mimi ni mshabiki wa England,naipenda Sana lakini nafasi yao ya kuchukua ubingwa haupo hata kidogo. Sijui ilikuaje mpaka nikaipenda ila nimeshindwaga kuhamia kwingineko
Wewe kama Mimi kwa England huniambii kitu
 
Nilikuwa shabiki wa england kindakindaki!Lakini washanichoshaga longi sasa nimehamia tanzania bora taifa stars mara mia kuliko england!
 
Kipendacho roho... Sijawahi kuwa mshabikibwa hii timu hata kwa mikwaju, ila wanaoipenda nawapa hongera maana wote tusipoishangilia watashangiliwa na nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom