kama umejaribu settings imeshindikana. inawezekana isp wamekufungia internet. hii inatokea iwapo umeaccess website zenye madhara kama torrents au porn sites. vilevile utumiaji wa services kama za proxy, pdproxy na nyingine kama hzo. isp wanafunga internet. jaribu kupiga namba 100 uwaeleze, kama ni wao wamefunga watakufungulia.
.
.
.
kujua kama isp wamekufungia. kama unatumia airtel na haisomi mnara wa internet. weka laini nyingine tofaut na yako ya airtel. ikisoma mnara ujue kua namba yako ndo imefungiwa