Kusema Kweli Ni Sehemu Ya Uadirifu

Inawezekana hii JF ni mojawapo la tawi la UWT.
 
Jamani kulikokoni humu jamvini????manake ni kama sielewi kinachoendelea....naomba mnielekeze maana mada maana thread imekuja kwa lugha tamu na ya ukali uliojificha yenye flow nzuri,there is smthg behind here!!! Jf tupe majibu kunyofoa article muhimu ya huyu bwana.......(kinywa siku zote huwa ni jumba la makelele)
 
Kama unayo irushe tena ,au hukuwahi kuihifadhi ,hapa saa ingine inaonekana wapo na woga ,sasa wakiondoa wewe unaiweka mpaka watazoea.

Maana wengine hutoka majumbani na visasi ,wakiwa na hasira kuwa akiingia kwenye kumodereti ataifuta topiki ya fulani au fulani,hivyo tokea nyumbani atokako anakuwa na mawazo hayo na akifika anafanya kweli,ila usichoke iweke tu ,mwisho wake ataisoma na kuifahamu kuwa ni mada murua kabisa,unajua saa ingine hawa mamodereta huingia na jazba ya kasumba za kichama au kidini ,au kama haitoshi huwa amevuta au amepuliza au zaidi itakuwa amekunywa mvinyo ,yote hayo yanawezekana sasa akiingia hapa huwa akili zake sio timamu na machale yanamcheza kuona kilichoandikwa ni hatari kwa usalama wa JF si unajua ukitafunwa na nyoka. Japo walitusifia baada ya kutoka Rupango kuwa sasa JF ni safe heaven na imekamilika kidemokrasia ,lakini ukiangalia utaona imekuwa ni sehemu iliyovamiwa na viwavi jeshi.
 
Nimekuelewa mkuu na nalifanyia kazi wazo lako.
 


Kaazi kweli kweli, lol
 
Kama unayo irushe tena ,au hukuwahi kuihifadhi ,hapa saa ingine inaonekana wapo na woga ,sasa wakiondoa wewe unaiweka mpaka watazoea....

Wameirejesha baada ya kuona nimeiweka tena, ghafla wameiunganisha na ile walio hiweka kizuizini...!

JF...! very sad

Gonga Hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…