..nenda kwenye kituo kilichosajiliwa kufanya mitihani ya PC na QT utapewa reference number ambayo utakwenda nayo posta kulipa ada ya NECTA tsh 50,000 kwa PC na 40,000 QT,.baada ya malipo nenda internet cafe sasa ukafanye usajili wa masomo,jitaidi mwisho ni tar 29 mwezi huu,kuanzia March kutakuwa na faini kidogo.