Kusajili Gazeti

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Wadau naomba kuwasilisha kwenu maombi ya msaada wa kujua hatua za kusajili gazeti na mahitaji
yake.

Asanteni
 
uchaguzi unakaribia na magazeti yanaongezeka...mimi sijui mchakato wake wajuzi watakusaidia...ila mkuu avatar yako inanitisha,.ibadili tafadhali
 
Una mhariri? Maana ndiye anayetakiwa kabla ya kupewa isn number ya usajili ya gazeti
 
Asante mkuu, but wazo la gazeti hilo si kwa ajili ya siasa...avatar hahahahahahahahahahahaha


uchaguzi unakaribia na magazeti yanaongezeka...mimi sijui mchakato wake wajuzi watakusaidia...ila mkuu avatar yako inanitisha,.ibadili tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…