Jamaa anadeka sana.!Mhh ndio huu wino au kuna mwingine???
Hahahaaaaaaaaa, we nduguu kbkoo..... Acha izo bhanaaa we nipe mbinu...Kuutoa mbona hata dk 1 haiishi ngoja nikuelekeze tu bure ufanye. Ila kabla ya kukupa suluhisho nina swali kidogo. Je uliondoka kwa bibi yako akiyekulea ukiwa na miaka mingapi?
Ndio maana mpk sasa hakuna aliyekujibuDuuuh..... Cdekiii bhanaaa nakausha sakafuuu {joking}
Duuuh..... Cdekiii bhanaaa nakausha sakafuuu {joking}
Sipati picha mwanao siku akikojoa hapo kwenye hilo kochi na kumwagia mchuzi...... Itakuwaje.Helow wadau, naomba msaada wa kimawazo.. Technically
Leather sofa yang ya ngoz rangi ya cream imechafuka wino kdgo,..... Ninahitaji kufuta je ni solution gan inafaa kuondoa!? Nilinunua solution ya Tuff Stuff foam lakin haijafnikisha kuondoa....... Maji na sabun yenyewe hajafua dafu..!!! View attachment 928791
Hii inapatikana wapi?
Hii inapatikana wapi?
Afu una kikapeti kama changu.
Karibu geto kwangu.
HAhaha haya poa dada yangu kipenzi.Niliipata Kariakoo,
Nipe location ya Geto, nije kukiona hiko "kikapeti" kama changu