Asante Dkt,Hali ya maisha Kigali yapoje kwa ujumla wake?hotels nkUnaweza kuchukulia temporary passport mpakani mkuu, ila wambie kuwa unadharura either unakuja msibani au utafute sababu nyingine otherwise utarudishwa..
Kalibu Kigali
Wengi wapo Remera na GikondoSehemu gani kuna watanzania wengi,au wanyarwanda wenye asili ya tz??
Frk 25,000 saws na kiasi gani kwa tsh?Kigali poa hoteli ya wastani unapata kwa frw 25,000 hiyo ni self contained with wifi breakfast included..
Lakini hata 10000Frw unapata pakulala yote inategemea na budget yako.