Kuruka ukuta

JOE58

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
14
Reaction score
5
Ili kuingia bure uwanjani kuangalia mechi kajamaa kakaamua kuruka ukuta wa stadium , ile kutua ndani tu, akajikuta katua karibu na afande, ili kuua soo jamaa akamwambia afande " samahani kaka afande wale walioruka ukuta wanakaa wapi?"
 
kabla hajamaliza kuuliza atakuwa keshakula rungu ka sabini hivi
 
Ili kuingia bure uwanjani kuangalia mechi kajamaa kakaamua kuruka ukuta wa stadium , ile kutua ndani tu, akajikuta katua karibu na afande, ili kuua soo jamaa akamwambia afande " samahani kaka afande wale walioruka ukuta wanakaa wapi?"

hahahah, wanakalia upanga, kudadadeki,,,
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…