VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Hongereni sana mnafanya kazi kubwa kuwa daraja muhimu na mkuu wetu
Rejeeni video clip ya karibuni habari njema ya maboresho zoo ya Ikulu ni njema kabisa. Tatizo mmeweka maandishi ya pongezi Magufuli na Baba wa Taifa.
Kwamba Magufuli karejesha ubora wa zoo ya Magogoni kama zama za Mwalimu, kwamba baada ya Mwalimu walitoweka. Tuheshimu watangulizi wetu haikuwepo haja kuweka maneno kama ya kanga kwa ujumbe ule murua. Kwa bahati mbaya Mkuu aliwahi kutamka lawama awamu za awali katika hotuba rasimi, sidhani aliwatuma muandike vile katika clip.
Watanzania tuna hulka na desturi kuheshimu wazazi, wazee na watangulizi wetu. Huu ujinga wa kukejeli na kubeza watangulizi sio utamaduni wetu.
Kwa taarifa zaidi kuhusu Wanyamapori kurudishwa Ikulu, tembelea Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli