Kurudisha data kwenye memory card

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Wakuu habari za kazi,
naombeni msaada nitumie program gani kurudisha program pamoja na music kwenye memory card yangu,ambayo jana niliitoa kwenye simu na kuiweka kwenye card reader ili niichomoe baadhi ya vitu,sasa baada ya kuifungua tu,nikagundua ile pc ina virus na vitu vyote kwenye memory card vimepotea vyote,sasa wandugu naombeni mwenye program au ujanja gani nitumie ili nirudishe program zangu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…