Karibu sana ndugu binafisi hii ni mojawapo ya kazi yangu ila madalali wanaumiza sanaHabari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku naendelea na masomo yangu kwenye chuo cha mifugo hivyo mimi nakuwa na hudumia nikiwa likizo mdogo wangu yeye anaudumia nikiwa sipo.
So, kama ugonjwa ukitokea ana niambia namuelekeza dawa na management za ufugaji wa kuku. Changamoto niliokutana nayo ni madalali kwenye kuuza nakumbuka nilipofunga chuo nilirud home ikanibidi nitafute soko nikatafuta soko nikapata sehem ya barabarani kuuzia nikaongea na dalali akaja na kenta kusomba kuku nyumbani tulikubaliana akimaliza mzigo ananipa pesa yangu lakin nilichokuja kuambulia ni pesa ndogo sana maana nilimuachia mzigo kutokana kesho yake naelekea field so nikawa napiga simu huku napewa tarehe mbali mbali na kutumiwa elfu 30 kwa mwezi mara elfu20 daah hapo ndipo mtaji ulipokufa.
So ombi langu ni kama unaingia kwenye ufugaji au kilimo usimuamin mtu anaeitwa dalali hivyo nimejipanga mwaka huu kurudi tena mwezi ujao bado sijakata tamaa ikiwa ndio profesinal yangu ninayo isomea [emoji1836] pia napenda kuwatakia week end njema
Pole sana mkuu! Naomba kufahamu walikuwa kuku wa kienyeji au kizungu?Habari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku naendelea na masomo yangu kwenye chuo cha mifugo hivyo mimi nakuwa na hudumia nikiwa likizo mdogo wangu yeye anaudumia nikiwa sipo.
So, kama ugonjwa ukitokea ana niambia namuelekeza dawa na management za ufugaji wa kuku. Changamoto niliokutana nayo ni madalali kwenye kuuza nakumbuka nilipofunga chuo nilirud home ikanibidi nitafute soko nikatafuta soko nikapata sehem ya barabarani kuuzia nikaongea na dalali akaja na kenta kusomba kuku nyumbani tulikubaliana akimaliza mzigo ananipa pesa yangu lakin nilichokuja kuambulia ni pesa ndogo sana maana nilimuachia mzigo kutokana kesho yake naelekea field so nikawa napiga simu huku napewa tarehe mbali mbali na kutumiwa elfu 30 kwa mwezi mara elfu20 daah hapo ndipo mtaji ulipokufa.
So ombi langu ni kama unaingia kwenye ufugaji au kilimo usimuamin mtu anaeitwa dalali hivyo nimejipanga mwaka huu kurudi tena mwezi ujao bado sijakata tamaa ikiwa ndio profesinal yangu ninayo isomea [emoji1836] pia napenda kuwatakia week end njema
Pole sana mkuu. Mimi biashara hiyo nimefanya hapa mjini. Ni kweli madalali sio wazuri. Cha kufanya ni kuwauza kidogo kidogo utapata faida nzuri. Mtandao wa kijamii pia utakusaidia. Zungukia wafanyakazi wa serikali mshahara ukitoka ni wanunuzi wazuri wa mayai na nyama.Habari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku naendelea na masomo yangu kwenye chuo cha mifugo hivyo mimi nakuwa na hudumia nikiwa likizo mdogo wangu yeye anaudumia nikiwa sipo.
So, kama ugonjwa ukitokea ana niambia namuelekeza dawa na management za ufugaji wa kuku. Changamoto niliokutana nayo ni madalali kwenye kuuza nakumbuka nilipofunga chuo nilirud home ikanibidi nitafute soko nikatafuta soko nikapata sehem ya barabarani kuuzia nikaongea na dalali akaja na kenta kusomba kuku nyumbani tulikubaliana akimaliza mzigo ananipa pesa yangu lakin nilichokuja kuambulia ni pesa ndogo sana maana nilimuachia mzigo kutokana kesho yake naelekea field so nikawa napiga simu huku napewa tarehe mbali mbali na kutumiwa elfu 30 kwa mwezi mara elfu20 daah hapo ndipo mtaji ulipokufa.
So ombi langu ni kama unaingia kwenye ufugaji au kilimo usimuamin mtu anaeitwa dalali hivyo nimejipanga mwaka huu kurudi tena mwezi ujao bado sijakata tamaa ikiwa ndio profesinal yangu ninayo isomea [emoji1836] pia napenda kuwatakia week end njema
Mkuu idadi yako ni kiasi gani?Nataka kufuga kuku lakin bado sina uhakika wa soko
asante now nimepata mwanga wacha nikomae mwenyewePole sana mkuu. Mimi biashara hiyo nimefanya hapa mjini. Ni kweli madalali sio wazuri. Cha kufanya ni kuwauza kidogo kidogo utapata faida nzuri. Mtandao wa kijamii pia utakusaidia. Zungukia wafanyakazi wa serikali mshahara ukitoka ni wanunuzi wazuri wa mayai na nyama.
Soko la uhakika liko wapi?Mkuu idadi yako ni kiasi gani?
Wa kienyeji au wa kisasa?
Mbona soko liko mkuu?