Kuropoka Kwa mponza Ahmed ally

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,789
24,221
Baada ya kuukosa ubingwa wa mapinduzi....semaji la vibonde wa mla ndege ( njuni in nyakyusa) aliwekwa kikaangoni na uongozi wa msimbazi

Kwamba maneno yake yanawahamasisha wapinzani kujituma zaidi... kwenye mechi za kolo Ili kum,prove wrong Hivyo wamemwambia ajitathimini
1705763069552.jpg
 
Sasa kuna ubaya gani hapo? Nao si wajitume kukabiliana na huo ushindani?
Yani wafungwe lawama wampe msemaji?
Una kumbuka kipindi Yanga wanapitia economic hardship....manara akiwa semaji la kolo ...

Aliulizwa ...kama ataweza kufunga Yanga ....alijibu "Yanga Ina wachezaji wa kuokoteza
Kesho kwenye mechi mauya akafunga goli ....na alitumia style ya kushangilia kama ansokota vitu

So sometime wasemaji wanachangia ..... never under estimate the power of ur opponent
 
Back
Top Bottom