Kuroiler wanauzwa!!

Kuroiler wanauzwa!!

kitanguz

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
15
Reaction score
2
Kwa wafugaji wa kuku njoo pm kuku bora kabisa aina ya kuroiler wanapatikana na ushauri wa kitaalam unapatikana bure kabisa ni kuku chotara wa mayai na pia ni wazuri na watamu sana kwa nyama..wanauzwa wa mwezi mmoja

Asanteni
 
Jifunze kuandika tangazo ndugu,
1-Bei
2-Mahali ulipo
3-Picha

Hayo ni baadhi ya mapungufu ya tangazo lako.
 
Kwa wafugaji wa kuku njoo pm kuku bora kabisa aina ya kuroiler wanapatikana na ushauri wa kitaalam unapatikana bure kabisa ni kuku chotara wa mayai na pia ni wazuri na watamu sana kwa nyama..wanauzwa wa mwezi mmoja

Asanteni
Mnaambiwa kwenda shule mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui
Eti kroila wanauzwa, ni watamu sana kisha unaweka namba ya simu inaondoka
Puuuuuumbavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom