Kurenew cheti ERB

Final Engineer Report format

Acknowledgement
Anza kwa kuwashukuru wazazi,Mungu ,familia ,wajukuu na mwaisa wengine
Table of contents
List of table
List of figures
Section 1: Introduction
1.1 General
Elezea background yako ulikosoma na completions zako.
1.2 other Trainings
Elezea training nyinginezo ulzofanya baada ya chuo katika uhandisi.

Section 2: Record of Technical and Professional experience

Mwaga miradi yote uloshiriki hapa weka table jaza jina miradi,lini,muda wa mradi,gharama,supervisor engineer ( huyu unaemweka hapa aku endorse kule chini) na signature aweke hapa.
Section 3: Details of the professional training undertaken
3.1 Selected project 1
3.2 Selected project 2
3.3 selected project 3
Kila project elezea
1.project particulars
2.project description
3.scope of works
4.relevant regulations and standards
5.involvement in the project
6.description of main job
7.Challenges experienced and solutions
8.experience gained
Section 4: Conclusion and recommendations
4.1 conclusion
Conclude hapa kua unaendelea kujifunza nakupata uzoefu zaidi .........
4.2 Recommendations
Recommend apa kua ww ndo umeandika report na umefanya izo kaz kweli
Section 5: Endorsement
5.1 endorsement 1
5.2 endorsement 2
5.3 endorsement 3
Hapa lazma wakuendorse na engineer walosajiliwa na bodi na wapige mihuri yao kila mmoja

APPENDICES
weka mazaga ya kusuport kazi zako hapa.
 



πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Umetisha sana Engineer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…