Kura zataabisha Bunge la Katiba

Mzee sitta a cha kutafuta sifa nchi haijawaahi kuwa kura za kipumbavu kama za bunge lako
 
Na posho lazima atalipwa si atakuwa amefanya kazi....kuna haja gani ya kusaini mahudhurio?.... sita kweli mburula.
 
- Kumbe ni ile Source Makao Makuu Bilicanas yaani kichwa cha habari na habari yenyewe mbali mbali ila ni kwaida ya lile gazeti la Bilicanas

Le Mutuz
 
Anawalenga mawaziri .wabunge 25 wa CCM ambao hawajawahi kukanyanga bungeni, wabunge 30 toka kundi la 201 na kwa sababu wameruhusu kula ya wazi na siri basi watavunga eti hao wote wamepigia ndio vifungu vyote , Sitta na Kikwete 2016 lazima wapelekwe the Hague
 
Tanzanian dictator of all the time. Good thing amejulikana mapema, big up kwa waliofanya juhudi za kumzuia kufika alipokuwa amelenga na kuamua kumuondoa kwenye kiti cha Uspika kipindi kile. Huyu mzee sasa ni kama kachanganyikiwa tu.

Pole yao wana Urambo, nasikia sasa hivi yupo katika mchakato wa kupigania uanzishwaji wa mkoa mpya wa Urambo.
 
- Kumbe ni ile Source Makao Makuu Bilicanas yaani kichwa cha habari na habari yenyewe mbali mbali ila ni kwaida ya lile gazeti la Bilicanas

Le Mutuz

Le Mutuz, nimeshangaa mitaani magazeti ya TANZANIA DAIMA kufika saa tatu au saa nne asubuhi kupata nakala ni bahati wakati magazeti ya UHURU na Mzalendo ndiyo yanakosa wateja kila siku unaweza niambia sababu?
 
CCM, najua kwa ulafi wenu hamna uchungu wowote na hatma ya taifa hili lakini je, hata aibu hamuoni kuendesha mambo kijinga kama mnavyojaribu kufanya?
 
- Magazeti yote ya Udaku yanauza sana ulikuwa hujui kwamba udaku ndio namba moja

Le Mutuz
 
CCM, najua kwa ulafi wenu hamna uchungu wowote na hatma ya taifa hili lakini je, hata aibu hamuoni kuendesha mambo kijinga kama mnavyojaribu kufanya?

- Kama kawaida yenu Chadema mmekosea tena hesabu za siasa mlidhani mkitoka bungeni litasimama, halijasimama sasa mnahangaika kwa nje mtaweza wapi hivi kweli Taifa la wananchi 44 Millioni tutawaachia wabunge 46 mtusumbue haiwezekani mmeshindwa kaeni pembeni, Bunge la katiba haliwezi kusimamishwa na Maaskofu wastaafu wala mtu yoyote poleni sana!1

Le Mutuz
 
Wakuu naombeni kueleweshwa;

Utaratibu huu mpya wa wajumbe wa BMK kupiga kura hata wakiwa nje ya Ukumbi wa BMK; je ni sawa kisheria?

Mbona watanzania wengi tu huzuiliwa kupiga kura wakiwa nje ya maeneo walikojiandikisha? Tumeshuhudia wanafunzi na wana diaspora wakinyimwa haki ya kupiga kura kisa wapo mbali na maeneo ya tukio?

Hii ndo ina maanisha nini? Mbona tunafanya mazoezi ya kulitumbukiza taifa hili kwenye sintofahamu??
 
Kutaka wajumbe wapige kura wakiwa nje ya bunge ni njia ya kutaka kuzichakachua hizo kura!!!
 
Hizi semina zinazoendelea bungeni ambao wapo nje wataeleweshwaje namna ya kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…