Kura za SAUT kugawanywa

"Watashindana lakini hawatashinda...",alisema huyo anaye jiita mzee wa maupako!
 
Hata cdm waweke jiwe pale kwa wenje itashinda tu.Waache wamuweke huyo mtu.

kwa namna wanachuo wanavyowachukia wahasibu wa vyuo kwa ukiritimba wao hapo wamechemsha. Huwa wanachelewesha sana kwenye mambo ya pesa kwa manufaa yao binafsi.
 


kura za CDM hazipunguzwi kwa namna hiyo, CCM ni ccm tu haijalishi unasoma wapi na unafanya kazi gani. Hata kama wanafunzi wa udsm wangekuwa chuoni wakati wa uchaguzi bado mtatiro aliyekuwa waziri wa mkopo wa serikali ya wanafunzi pale udsm asingefua dafu kwa mnyika. Wasomi ni wasomi hawayumbishwi kirahisi hivyo.
 
wewe utakuwa ni ndugu wa huyo mhasibu hivyo umekuja kupima upepo hapa.

Hapana mkuu sina nasaba yoyote na wala simjuhi mtu huyu na wala niseme kweli hata SAUT kwenyewe sijawahi kufika

Hii habari nimeipata na nimeiweka hapa si tu kujadiriwa jukwaani bali pia kuwaweka katika kuwa informed viongozi wa chama na mbunge wetu pia,na hata ukiangalia hapa jamvini kuna mtu kamtambua bwana huyu hata kwa jina,sasa tumjadili mtu huyu na si mnijadili mie kwani mie sina athari yoyote kwa chama zaidi ya wanaozunguka kutafuta ni jinsi gani waidefeat CDM

Wanasema kumtambua adui yako mapema tayari una nafasi ya kuishinda vita

Pamoja tutashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…