Kura ya Maoni..................

Kweli mkuu hili ni neno. Yaani alipoangalia nyomi iliokuja kusikiliza mabadiliko naye akatambua kuwa kumekucha. Sasa kila pitapo anahubiri mabadiliko kama mwenzake wa upinzani.
Fanya uamuzi mzuri, 25 Oktoba, 2015 umwambiye, ahadi zako hazisaidii tena, mwache mwingine aliekuwa kando aniahidi huenda ikawa kweli, zako bado nazikumbuka kwani nilizingojeawee mpaka leo hujanifikishia huku ukikumbuka kuwa Ahadi ni deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…