Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwandaWanajamvi kuna shida gani imejitokeza mpaka kuadimika/kupotea samaki aina ya kibua mtaani maana kama sisi wasela tulizoea ukifika kitaa unaenda ktk duka la samaki unachukua nusu kibua+ugali chumvi nyiiingi,pilipili kwa kachumbali siku inaenda sasa kila tukienda kwenye maduka hayo tunakuta samaki bei 10000 sasa kwa sisi wasela imekuwa kula samaki kama anasa msaada shida iko wapi kwa samaki wetu wapendwa kibua?
Basi tutakula dagaa na siku watakayokuja kutuuliza kwa nini tuna uhaba wa protini huko mahospitalini wajue hili samaki anasa sasa.Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwanda
ila binafsi nilikuwa siwapendi maana wanakaa kwenye contena wiki 6-7 mpaka washuke bandarini
Hv tz wanahitaji ku import samaki jameni??Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwanda
ila binafsi nilikuwa siwapendi maana wanakaa kwenye contena wiki 6-7 mpaka washuke bandarini
ndo ujue penye miti apana wajenzi,pamoja na bahari maziwa ila tuna importer samakiHv tz wanahitaji ku import samaki jameni??
tuache utani bana
na bado walikuwa watamu. sasa ukutane na mama kibua ukitoa mtoto wake kibua mwenyeweeeee, eti nini!!!!!!!!!Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwanda
ila binafsi nilikuwa siwapendi maana wanakaa kwenye contena wiki 6-7 mpaka washuke bandarini
Kaka tumia logic tuu. Hizi mvua na upepo mkali kwanza inafanya idadi ya wavuvi kwenda kuvua huwa ndogo[ukitegemea aina ya vyombo vinavyotumika kwenye uvuvi], pili kipindi hiki sama huwa chini zaidi kutokana na baridi pamoja na mawimbi makali.Wanajamvi kuna shida gani imejitokeza mpaka kuadimika/kupotea samaki aina ya kibua mtaani maana kama sisi wasela tulizoea ukifika kitaa unaenda ktk duka la samaki unachukua nusu kibua+ugali chumvi nyiiingi,pilipili kwa kachumbali siku inaenda sasa kila tukienda kwenye maduka hayo tunakuta samaki bei 10000 sasa kwa sisi wasela imekuwa kula samaki kama anasa msaada shida iko wapi kwa samaki wetu wapendwa kibua?
[emoji23][emoji23]Ndio ujue kibua hataki usela,,,, labda jaribu dagaaa maana nasikia ni kauzu bila shaka kauzu na msela mnaendana!!!!!!!! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]