Kupotea kwa mtoto Kelvin Edmund

Kupotea kwa mtoto Kelvin Edmund

Abushiri

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
8
Reaction score
7
Habari WanaJamiiForums,

Naomba uhusike na somo hapo juu, Nimepata hizi taarifa kwa rafiki yangu EDIMUND RUSHAMBYA mwenye namba ya simu 0757068739 baada ya kunieleza kuwa amepotelewa na mtoto wake KELVIN EDIMUND hapo mwezi wa sita mwaka jana Wilayani KAHAMA.

Hivyo basi tunawaomba mtusaidie kutoa taarifa kwa umma, na mtuwie radhi kwa kucheleweshwa kwa taarifa hii kwani hakupata nafasi hii hapo mwanzoni.

hapo chini ni picha ya Mtoto aliyepotea na video ya Baba wa mtoto akiomba kusaidiwa.

wako katika kusaidia umma(jamii)
 

Attachments

  • KELVIN EDIMUND.MP4
    KELVIN EDIMUND.MP4
    313.4 KB · Views: 19
  • edmund.jpeg
    edmund.jpeg
    55 KB · Views: 29
Back
Top Bottom