mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 257
- 456
Mnnnnh.Tatzo likawa kwa Yule manzi aliyenitema coz alikuwa anampapu rafiki yake aachane Na me!.
But Mungu ni wa ajabu Sanaa!?
Mpango huo ulifail..
Hatimaye tukafanikiwa kuoana kwa kufunga ndoa!..
Japo haikuwa ya fahari but niliweza funga naye ndoa coz
Alionesha kunijari Na kuridhika Na Hali yangu.....
Soma kwa kutulia!.Mnnnnh.
Hali ipi?
Rejea yuza nem.
Mkuuu , nakuomba, uanzishe uzi wakipekee kuhusu hii story ya maisha yako, iman yangu itambadili mtu mmoja kwa namna fulani.Wale raia wa USA .
Waliniita jina ambalo nilikuwa silifahamu Wala silitambui so ikawa ngumu kuelewana nao!..
Lakini wakanielewesha kwa kusema kuwa "kwa muda mrefu tumekuwa tunakufuatilia Na muda umefika wa kukuchukua ili ukatumike Na sisi"
Kwa kweli nilishangaa Na kwa kipindi hicho nilidhan Na kuamini lazima watakuwa
Watu wa kunyonya damu/wachuba ngozi kutokana Na skendo za kipindi kileee....
Mie nipo , ila nataman sana uandike uzi kamili ,ili watu wausome kwa mpangilio mzuri mkuuBefore sijaendelea naona pako kimya!.
Isije kuwa Uzi umekufa.
Waliopo subscriber hebu comments
Daaah!. SIWEZI kuanzisha Uzi kaka!.Mkuuu , nakuomba, uanzishe uzi wakipekee kuhusu hii story ya maisha yako, iman yangu itambadili mtu mmoja kwa namna fulani.
Jitahidi sana mkuu!!