Kupitia Meghan kuna ya kujifunza. Mwanamke usikate tamaa

Kutokana Na ushaur wa Putin:
Naomba nifupishe/niache story!.

Lakini kubwa zaidi nilitaka kuelezea kuwa jinsi Gani
UVUMILIVU & UPENDO WA DHATI,

Ulivyokuwa Na nguvu katika mahusiano Na ndoa!..
Coz pasipo UVUMILIVU/upendo nadhan mke wangu angenikimbia!.

But kwa UVUMILIVU wake Na upendo umemfanya awe Royal Na kuwa mtu MUHIMU katika nafasi yake!..

Wito!.
MUHIMU kumvumilia mtu wako!.
Siyo lazima uolewe Na tajiri/mtt wa mfalme/Waziri/RAIS
Ukiwa mke au mume Bora
Unaweza kumfanya
Mkeo awe raisi /mumeo awe mbunge whatever!.

Hata mama Anna mkapa hakuwah kuwaza /kufikiri kama mkapa siku moja atakuwa RAIS!.

Mtengeneze mtu wako!...
Mkuuu nahitaji sana sana kuelewa njia zako mpaka hapo ulipo .

Tafadhali andika uzi ,wenye mpangilio mzuri mwanzo mwisho ,hata km utakua mrefu kiasi gan, nitausoma wote ..

Kuna kitu nakiona very interesting nachoitaji nikijue ... Unajua inspirational stories, heroic stories, motivational stories Nazipenda sana kwa najifunzaga mengi mno .
 
Kutokana Na ushaur wa Putin:
Naomba nifupishe/niache story!.

Lakini kubwa zaidi nilitaka kuelezea kuwa jinsi Gani
UVUMILIVU & UPENDO WA DHATI,

Ulivyokuwa Na nguvu katika mahusiano Na ndoa!..
Coz pasipo UVUMILIVU/upendo nadhan mke wangu angenikimbia!.

But kwa UVUMILIVU wake Na upendo umemfanya awe Royal Na kuwa mtu MUHIMU katika nafasi yake!..

Wito!.
MUHIMU kumvumilia mtu wako!.
Siyo lazima uolewe Na tajiri/mtt wa mfalme/Waziri/RAIS
Ukiwa mke au mume Bora
Unaweza kumfanya
Mkeo awe raisi /mumeo awe mbunge whatever!.

Hata mama Anna mkapa hakuwah kuwaza /kufikiri kama mkapa siku moja atakuwa RAIS!.

Mtengeneze mtu wako!...
Aaah we jamaa umekatisha story ikiwa kwenye chorus
 
Back
Top Bottom