Kupendwa

babo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
194
Reaction score
23
Utajuaje kama mpenzio anakupenda kwa dhati,

Ishara gani huonyesha kwako au dalili zipi huonyesha......
 
Ishara kuu ya kwanza ni wewe kumpa ile kitu tam kuliko vyote

Unakijua?
 
Yeye ndiye ajuae moyoni mwake anaweza onyesha ishara ya kukupenda na ikawa kiukweli moyoni mwake wala hayupo na wewe
 
Utajuaje kama mpenzio anakupenda kwa dhati,

Ishara gani huonyesha kwako au dalili zipi huonyesha......

swali ni je anakupa furaha na amani? kama ndio basi jua kuna upendo..ila kama sio jua mnapeana maneno tu
 
eti utjueje kama mpenzio anakupenda kwa dhati,ishar gani huonyesha kwako au darili zipi huonyesha
Mimi ninaimani 100 percent mume wangu ananipenda ( the sex is good ( we do tantric sex often ), a good father and a provider ( he cooks ,taking care of the kids ,takes me out shopping,clean the house ,wash my car ,ananisindikiza salon ). My money is mine his money is ours .Ameninunulia nyumba bongo na all his asset NUSU kwa NUSU .trust fund for my children's .Every month ananipa allowance 3000 dollars .Namshukuru mwenyezi mungu aliyeniumba na kunipa baraka hizi kwa Sababu Nimekuwa mtiifu na mwaminifu Kwake na society .Mume wangu anataka ni smile all the time nikikasirika some is serious wrong na alieniudhi atakoma .mama mkwe wangu anagombezwa akiniuzi.Amenichagua Mimi na ndugu zake Lazima wanisikilize mimi .
 

Evil woman
 
Kupendwa ndio unaona evil poleeee

Kwa hali ya kawaida, huyo mwanaume lazima utakuwa umemwendea kwa kalumanzila...basically, anafanya kila kitu..na wewe uko hapa proudly broadcasting kwamba chako ni chako na chake ni vyenu. Thats evil,
 
akiwa anakufulia kufuli zako basi ujue anakupenda
 
Hongera na Mshukuru Mungu.
I hope unarudisha huo upendo maana raha ya kujua kupokea ujue na kutoa.
 
Utajuaje kama mpenzio anakupenda kwa dhati,

Ishara gani huonyesha kwako au dalili zipi huonyesha......
Mi sidhani kama unaweza kujua kwani hayo mambo yako moyoni kwa mtu huwezi ona.now days people can pretend pia ankupenda anakujali kumbe si chochote na yake anayotaka.so kwangu mimi sidhani kama kuna exactly signs we swaga tu yatajipa yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…