Kupendana kuna raha yake!

Mmmhh... Nimekumbuka mbali kweli!

Nilishawahi mwambia dada mmoja hivi, 'tukatiane chungwa'!!

Duh! Jicho lilimtoka mithili ya panya aliyebanwa na mlango!
 
Mmmhh... Nimekumbuka mbali kweli!

Nilishawahi mwambia dada mmoja hivi, 'tukatiane chungwa'!!

Duh! Jicho lilimtoka mithili ya panya aliyebanwa na mlango!

Mwenye neno sahihi la sarufi ya kitenzi cha neno hili atujuze!
 
wako wengi si happy tu...

Mmmhh... Nimekumbuka mbali kweli!

Nilishawahi mwambia dada mmoja hivi, 'tukatiane chungwa'!!

Duh! Jicho lilimtoka mithili ya panya aliyebanwa na mlango!

Tehe tehe....ilikua ngumu kukuelewa kwa haraka
 
Tehe tehe....ilikua ngumu kukuelewa kwa haraka

halafu sasa kibaya zaidi.. nilipomwambia 'tukatiane chungwa',

ilkuwa ni mbele za watu.. halafu hata chungwa wala kisu sina!!!

sister alikuwa bubu ghafla!!
 
halafu sasa kibaya zaidi.. nilipomwambia 'tukatiane chungwa',

ilkuwa ni mbele za watu.. halafu hata chungwa wala kisu sina!!!

sister alikuwa bubu ghafla!!

Daaah,asa mkaishia vip hapo? Maskini sister wa watu
 
Wastaarabu waungwana wenye maadili hawana mada za ovyo kama yako unajionyesha ni jinsi gani sii mstaarabu hujiheshimu hujafunzwa adabu heshima nidhamu na wazazi weka.mada za.kuelimisha watu jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…