kuna jamaa yangu ana madem 2 amekua na mahusiano nao ya kimapenz toka 2013 lakin kati ya hao 1 ndo anampenda tatizo ra huyo dem anpenda pesa sana hiyu wa 2 hampendi sana lakin huyo dem anampenda sana tatizo rake hana mda wa kumridhisha mpemzi wake kama wewe utamshauri amfanyeje ؟

ki ukweri sijaerewa......rete tena......
Kizungu shida,kiswahili shida dah malengo ya milenia yanachangamoto nyingi.
kuna jamaa yangu ana madem 2 amekua na mahusiano nao ya kimapenz toka 2013 lakin kati ya hao 1 ndo anampenda tatizo ra huyo dem anpenda pesa sana hiyu wa 2 hampendi sana lakin huyo dem anampenda sana tatizo rake hana mda wa kumridhisha mpemzi wake kama wewe utamshauri amfanyeje ؟
Hiri ri mama robi reo razima nikarirengeshe!.ki ukweri sijaerewa......rete tena......
Good example.... Baada ya we mwenyewe kuindoa " xaxa"Embu ondoa RAA zote ntakujibu.