kombokokingachi
Member
- Feb 10, 2012
- 14
- 3
Mbao tinted??? Ni treated mkuu
Kaandika treated, hiyo tinted ni ya kwako!
nicheki mimi whatsapp nitakusaidi kupata bati pamoja mbao vyote vinapatikana dukani kwetu.
0715426668
Andaa kama 6m mbao , bati na ufundi.Habari zenu wakuu....
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu au mafundi ujenzi gharama za kupaua nyumba ya vyumba viwili vyakawaida vya kulala,master moja,choo na bafu vya public,dinning na sebule,stoo na jiko...
Je, kwa makadirio zitaijika bati ngapi,mbao ngapi.
Angalizo: Nataka kupaua kwa kutumia mabati ya migogngo mipana gage 28 na mbao za treated.
uko wapi mkuu???
mbao 250 bati bandari 4 za futi 8 geji 30 chapa kiboko au chapa simba misumari ya bati kilo 12 misumar ya kawaida kilo 15 mchanganyiko makoa 50. Beem wire 5 gharama ya fundi laki 4 and above
nicheki mimi whatsapp nitakusaidi kupata bati pamoja mbao vyote vinapatikana dukani kwetu.
0715426668
mbao sh ngapi?nicheki mimi whatsapp nitakusaidi kupata bati pamoja mbao vyote vinapatikana dukani kwetu.
0715426668