Kupaua ni mara moja tu, usikubali kuharibiwa paa lako

Kupaua ni mara moja tu, usikubali kuharibiwa paa lako

Joined
Nov 19, 2017
Posts
814
Reaction score
1,026
Kumbuka kupaua ni mara moja tu.
Ukiharibiwa nyumba yako utakua umependa wew
Paua nasi kwa bei nafuu,kazi bora na uaminifu wakutosha
Pichani ni moja ya kazi zetu eneo la mbezi Msumi Dar es salaam.
Popote ulipo Nchini Tanzania tutakufikia
Ukihitaji huduma hii tupigie kupitia whatsapp 0652 881 000.
IMG-20180906-WA0002.jpg
 
Kazi nzuri sana Mkuu.utafikiri hilo bati ni moja kama zulia limepachikwa tu japo juu...BTW nina hofu na bei yenu si unajua nyakati zenyewe hizi.
Bei yetu ni yakawaida sana
Kazi hii ukitaka kuzifanya inabidi uwe mtoa huduma maana nyumba ni maisha ya mtu.
 
Back
Top Bottom