G
Wachambuzi hao watakuwa sehemu ya first eleven itakayo fanya mageuzi ya ki-mpira?Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA.
Hiki ndicho alichoandika Manara kwenye page zake rasmi
"Mnakwama Wapi Wachambuzi kunipigia Simu? Tatizo ni nini Bando au mnaniona mimi Chinja Chinja?
Mbona mimi fresh tu kwenu?
Nasubiria Simu zenu nifanye Teuzi ndugu zangu, msiniogope bhana, na posho ya safari pia nnazo mimi.
So far ukiacha @oscaroscarjr wa Wasafi na @jr_farhanjr wa Clouds ,Pamoja na @dominicksalamba wa azamtvtz bado sijapokea Simu nyingine, ningetamani na Vituo vingine nao waende.
Piga now Chambuzi, Piga kwa Bugati akupe Exposure ya kuruka na Mwewe, halaf uzuri wa Algeria ina Boda na France, Yaani ukifika kule kama umefika Ulaya tu.
Nb:: Nipo nimekaa pale na Panga langu nasubiria kutahiri without Ganzi, kuku wahed."
Ameambatanisha na picha ifuatayo
RIP LEMUTUZWajinga wa Taifa hili ni
Hajji manara
Steve nyerere
Lemutuz
Na mleta mada hii
Bro muache basi lemutuz apumzike pale kwao alipolazwa. Usimtaje taje miiko yetu watanzania marehemu hatajwi maana hawezi jitetea mkuu.Wajinga wa Taifa hili ni
Hajji manara
Steve nyerere
Lemutuz
Na mleta mada hii
Unaandika ukiwa kaburini au? Lemutuz tuko nae?Wajinga wa Taifa hili ni
Hajji manara
Steve nyerere
Lemutuz
Na mleta mada hii
Hajui kitu huyo, msamehe tu bro.Unaandika ukiwa kaburini au? Lemutuz tuko nae?
Sawaa mkuuBro muache basi lemutuz apumzike pale kwao alipolazwa. Usimtaje taje miiko yetu watanzania marehemu hatajwi maana hawezi jitetea mkuu.
Niko auUnaandika ukiwa kaburini au? Lemutuz tuko nae?
We fala unaona kumsema lemutuz kuwa kilaza ni haramu but the same time kuwasema single mothers ni halali?Umeona kijana aliyelewa na Single mother na asiye na makuzi mazuri anakuja na kuanza kumuattack Lemutuz aliyelala mauti bila sababu. Msamehe tu bro.
Nimesha kuignore. Wewe sio hadhi yangu. ByeeeeWe fala unaona kumsema lemutuz kuwa kilaza ni haramu but the same time kuwasema single mothers ni halali?
Geof anasema ukweli bwana na Yuko clouds nadhani sijui km alihama mawinguKuna mchambuzi anaitwa Geoff Lea nimemchukia sana siku za karibuni kwa upuuzi wake. Kimsingi EFM nzima imekosa weledi kwenye ishu ya uchambuzi. Wachambuzi wote pale wanaichukia Yanga na pia hawana maneno ya hekima wanapoongea.
Mvuta Bangi yule....yuko E-fm kwa wahuni wenzakeGeof anasema ukweli bwana na Yuko clouds nadhani sijui km alihama mawingu