Kupatwa kwa umri

Good analysis, ila hapo uliposema adolescence inaanzia 18- 25 sio sahihi, embu cheki vizur desa la Kitila Mkumbo, psychology of adolescence
 
Good analysis, ila hapo uliposema adolescence inaanzia 18- 25 sio sahihi, embu cheki vizur desa la Kitila Mkumbo, psychology of adolescence
Wakuu naomba mjiongeze wenyewe, ni kweli balehe inaanzia 12,13, 14 sasa mlitaka niongelee kundi hilo la watoto wa primary school? Tunazungumzia 18+ umri halali kuanza mapenzi, na umri huo wa 18 - 25 bado wapo kwenye adolescence, pia unaweza kumaliza chuo hadi ukaanza kazi ukiwa kwenye adolescence?
 
Hili jukwaa limekuwa moja ya sehem yang muhimu sana ya kupata elimu hasa ya maisha ya kila siku ya mtanzania mbarikiwe wotee
 
Umemaliza yoooote.... [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…