musa abel jr Member Joined Oct 12, 2016 Posts 43 Reaction score 68 Sep 4, 2020 #1 Habari za mchana natumaini mko poa Namahani naomba kufaham kitu kuna best yang kaibiwa simu jana jioni na mpaka saivi hiyo simu yake bado inapatikana sasa nilitaka jinsi ya kutrack namba ya simu au kama ni gmail au imei na kuonesha location ilipo maana vyote anavifahamu vizuri Naomba msaada please
Habari za mchana natumaini mko poa Namahani naomba kufaham kitu kuna best yang kaibiwa simu jana jioni na mpaka saivi hiyo simu yake bado inapatikana sasa nilitaka jinsi ya kutrack namba ya simu au kama ni gmail au imei na kuonesha location ilipo maana vyote anavifahamu vizuri Naomba msaada please
kingwenje Member Joined Jun 19, 2020 Posts 78 Reaction score 112 Sep 4, 2020 #2 katoe lipoti police, watakusaidia, chap,
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,871 Reaction score 23,488 Sep 4, 2020 #3 Afanye mpango wa kununua simu nyingine tu.