Si vibaya ila mwanaume ana mahela?mapesa mengi??
kwamtoro kwanza asante kwa kututhamini wahego na kutuletea suala hili tulijadili wanafamilia ya mmu.
Ushauri wangu ni huu huyo binti aendelee tu kuushikila msimamo wake,
kwani mapenzi ya kweli hayaangalii uwezo wa kuzaa wala mapungufu fulani ya kiafya.
mapenzi ya kweli hayana masharti wala vigezo vya kuzingatiwa.
mapenzi ya kweli hayataki malipo au fidia(inaonekana huyo mchumba anaona mtoto au mimba ndo malipo yake kutoka kwa mdada,hayo si mapenzi ya kweli huo ni ubinafsi)
mapenzi yanayoenda kushia kuwa ndoa yanapaswa kuwa yale ya kuvutiwa na mtu na mwenzake na sio tu kwa kujua utapata mtoto,maisha mazuri,ulinzi au faida yoyote(kusudi la kijana na ndoa yake kwa huyo dada ni lipi anampenda au anataka kupata mtoto kutoka kwake.
mapenzi ya kweli yanavumilia(hata ikiwa hata beba mimba baada ya muda mrefu anaweza kuvumila)mnaona huyo kijana anaweza kufanya hivyo?
labada nitakuwa nimesaidia kwa kiasi fulani,mpe hongera zake mdada kwa msimamo wake imara Mungu yupo na iko siku atampata wake tu asiwe na papara.
We ulitakiwa ufanye kazi kiwanda cha kutengeneza hela...
Au aolewe na bank kabisa
Au aolewe na bank kabisa
Inaonekana umekuja utamaduni mpya kwa baadhi ya wanaume kuwaomba wapenzi wao kupata mimba kabla ya ndoa. Nimefanikiwa kuwauliza vijana 20 ambao tayari wapo kwenye umri wa kuoa. Kati ya hao 15 wanataka wapenzi wao wapate mimba kabla ya ndoa. Nikawauliza kwa nini wanataka hivyo, kwa mshangao wengi wao wamenijibu awa waamini wasichana wa siku hiziNina binamu yangu ambaye atatimiza miaka 34 mwishoni mwa mwaka huu ambaye bado ajaolewa. Kuna kijana moja ameonyesha nia ya kumuoa kwa condition kwamba lazima apate mimba kwanza. Binamu yangu amekataa kata kata kukubaliana naye amesema hata weza kubali kupata mimba kabla ya ndoa. Mama yake amekuwa na wasiwasi kutokana na umri wake na kikubwa zaidi ndiye mtoto wake wa kwanza.Wana MMU tatizo sasa mama yake ameniomba nimshauri nini afanye. Kwa sasa sina cha kuanza kumshauri. Sijui nimshauri vipi. Naweza mshauri apate mimba au asubiri mpaka ndoa? Nawasiwasi kijana ataweza kumuacha kwa yeye kukataa kupata mimba kwanza. Wana MMU, nimelileta kwenu tulonge.
Inaonekana umekuja utamaduni mpya kwa baadhi ya wanaume kuwaomba wapenzi wao kupata mimba kabla ya ndoa. Nimefanikiwa kuwauliza vijana 20 ambao tayari wapo kwenye umri wa kuoa. Kati ya hao 15 wanataka wapenzi wao wapate mimba kabla ya ndoa. Nikawauliza kwa nini wanataka hivyo, kwa mshangao wengi wao wamenijibu awa waamini wasichana wa siku hizi
Nina binamu yangu ambaye atatimiza miaka 34 mwishoni mwa mwaka huu ambaye bado ajaolewa. Kuna kijana moja ameonyesha nia ya kumuoa kwa condition kwamba lazima apate mimba kwanza. Binamu yangu amekataa kata kata kukubaliana naye amesema hata weza kubali kupata mimba kabla ya ndoa. Mama yake amekuwa na wasiwasi kutokana na umri wake na kikubwa zaidi ndiye mtoto wake wa kwanza.
Wana MMU tatizo sasa mama yake ameniomba nimshauri nini afanye. Kwa sasa sina cha kuanza kumshauri. Sijui nimshauri vipi. Naweza mshauri apate mimba au asubiri mpaka ndoa? Nawasiwasi kijana ataweza kumuacha kwa yeye kukataa kupata mimba kwanza.
Wana MMU, nimelileta kwenu tulonge.
Kumbuka kuwa siku zote mapenzi ni ya wawili,sasa kwa umri wa uyo dada hakuna jinsi akubali tu lakini baada kujiridhisha kwamba jamaa atabeba goma.Lakini hujatueleza kama jamaa ashalipia mali?,na wapo kwenye uhusiano kwa muda gani?.Naomba nitangaze maslahi katika hoja hii kuwa ata mimi mke wangu nilimuoa baada ya kumpa mimba.Inaonekana umekuja utamaduni mpya kwa baadhi ya wanaume kuwaomba wapenzi wao kupata mimba kabla ya ndoa. Nimefanikiwa kuwauliza vijana 20 ambao tayari wapo kwenye umri wa kuoa. Kati ya hao 15 wanataka wapenzi wao wapate mimba kabla ya ndoa. Nikawauliza kwa nini wanataka hivyo, kwa mshangao wengi wao wamenijibu awa waamini wasichana wa siku hizi
Nina binamu yangu ambaye atatimiza miaka 34 mwishoni mwa mwaka huu ambaye bado ajaolewa. Kuna kijana moja ameonyesha nia ya kumuoa kwa condition kwamba lazima apate mimba kwanza. Binamu yangu amekataa kata kata kukubaliana naye amesema hata weza kubali kupata mimba kabla ya ndoa. Mama yake amekuwa na wasiwasi kutokana na umri wake na kikubwa zaidi ndiye mtoto wake wa kwanza.
Wana MMU tatizo sasa mama yake ameniomba nimshauri nini afanye. Kwa sasa sina cha kuanza kumshauri. Sijui nimshauri vipi. Naweza mshauri apate mimba au asubiri mpaka ndoa? Nawasiwasi kijana ataweza kumuacha kwa yeye kukataa kupata mimba kwanza.
Wana MMU, nimelileta kwenu tulonge.