GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,931 Mar 18, 2016 #21 Manjuu01 said: Nakushauri tafta nyumba yyte itakayokufaa kuishi. Kutafta chumba NHC ni njozi utapoteza mda wako. Mbona ayo maeneo ya Sinza nyumba zipo kibao Mkuu. Click to expand... Ushauri nzuri Kuna jamaa yangu anafukuzia vyumba vya NHC tangu 2012 (miaka minne) hajawai kukipata wala kuona dalili hizo tena hapohapo Shekilango
Manjuu01 said: Nakushauri tafta nyumba yyte itakayokufaa kuishi. Kutafta chumba NHC ni njozi utapoteza mda wako. Mbona ayo maeneo ya Sinza nyumba zipo kibao Mkuu. Click to expand... Ushauri nzuri Kuna jamaa yangu anafukuzia vyumba vya NHC tangu 2012 (miaka minne) hajawai kukipata wala kuona dalili hizo tena hapohapo Shekilango