Spokesperson
Member
- Sep 21, 2015
- 19
- 7
Tena ulipewa wrong info zile ni za watu binafsi waliwapa nhc % Fulani ya hela kuzinunua halafu nhc wakajenga zen % iliyobaki wanalipa kidogo kidogoMkuu utapoteza muda, kipindi wanajenga za shekilango nlienda kuuliza zitangishwa vipi nikajibiwa zimeshajaa
Ina maana sio za Nhc mkuu?Tens ulipewa wrong info coz
Tena ulipewa wrong info zile ni za watu binafsi waliwapa nhc % Fulani ya hela kuzinunua halafu nhc wakajenga zen % iliyobaki wanalipa kidogo kidogo
Ndio mkuu ila hizi mpya tu zile za zamani bado za nhcIna maana sio za Nhc mkuu?
Nakushauri tafta nyumba yyte itakayokufaa kuishi. Kutafta chumba NHC ni njozi utapoteza mda wako. Mbona ayo maeneo ya Sinza nyumba zipo kibao Mkuu.Habarini wadau,
Mbele yenu ninahitaji kupata chumba kimoja tu cha kuishi pale Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Shekilango au hata popote pale karibu na mji.
Nimesikia kuna ukiritimba na utapeli uliokithiri pia. Sasa ninahitaji msaada wa mtu yeyote kuniwezesha (kama inawezekana) kupata chumba. Nitampoza kama dalali pindi akinifanikishia jambo hili.
Ninahitaji nihamie mwishoni mwa mwezi huu.
Ninawakilisha!
Duh!Hehee futa hilo wazo...kapange mabibo au mburahati
Hhahahaha, twenzetu wote kavpwe ni muhindi kwani?????,.
kama mmbongo pliz wahi mbagala fastaaaaaa,.....
Sasa hizo tunazoishi sisi waafrica tumepataje, au tumepangishwa na wahindi kwa mtazamo wako?Nyumba za nhc ni wahindi pekee ndio wanauwezo wa kuzipata lakini mtanzani thubutu
Labda Watanzania wenye uwezo wa kununua nyumba za NHC ni wengi kuliko wenye uwezo wa kujenga za kwao binafsi. Am just wondering!!!Hizo nyumba hata kukiwa na msingi tu unaambiwa pameshajaa
Hapo wanakua sio wanunuzi ni wapangajiLabda Watanzania wenye uwezo wa kununua nyumba za NHC ni wengi kuliko wenye uwezo wa kujenga za kwao binafsi. Am just wondering!!!
Project za NHC za sasa ivu nyingi wanauza. So wengi ni wamiliki halaliHapo wanakua sio wanunuzi ni wapangaji