Kupasuka mdomoni

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
744
Reaction score
578
WanaJF habarini za leo!Ninaomba mwenye kujua huu ugonjwa wa kupasuka sehemu za mdomoni unatibiwaje naomba msaada!Mdomo unajichana na kutoa damu hasa kipindi hiki cha baridi!!!MSAADA TAFADHALI!!!
 
WanaJF habarini za leo!Ninaomba mwenye kujua huu ugonjwa wa kupasuka sehemu za mdomoni unatibiwaje naomba msaada!Mdomo unajichana na kutoa damu hasa kipindi hiki cha baridi!!!MSAADA TAFADHALI!!!
Haunywi maji ya kutosha.

Jitahidi kwenye hilo utamaliza tatizo.

Kunywa angalau Lita 2 kwa siku.
 
Solution
Lip balm. Quick/temporary remedy
Tiba kuu
Ongeza vitamins kwa kula matunda na mbogamboga
Vitamin C inahitajika waeza kutumia supplements au matunda jamii ya limao/lime. Mf. machungwa.
 
Solution
Lip balm. Quick/temporary remedy
Tiba kuu
Ongeza vitamins kwa kula matunda na mbogamboga
Vitamin C inahitajika waeza kutumia supplements au matunda jamii ya limao/lime. Mf. machungwa.
Nashukuru sana,lakini hivyo vyakula ninavitumia,sema ukifika msimu wa baridi inatokea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…