Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Naona unatema mate kulia halafu unafukia kushoto...you're totally wrong
Cha muhimu chakula kiliwe......
Habarini,leo naomba mnijuze wanaojua,au tujuzane wote,hii dhana ya kupasha kiporo ktk mahusiano na ndoa wewe unaielewaje?kuna mawili hapa: watu kuishi pamoja miaka miwili mitatu na mtoto wao kisha wanabariki ndoa,au watu kila mmoja anaishi kwake au kwao halafu wanapeana mimba na kabla mtoto hajazaliwa wanafunga ndoa.je dhana zote zina maana moja ya kupasha kiporo au.
Infact hata wanaofunga ndoa na wameshaonjana japo hawajapeana mimba nao wanapasha kiporo?
Funzo tusipashe viporo,mimi nadhan nilipasha
mlikuwa wapi kingali fresh hamkukila hatimae mwakipasha?mwaeza pata ulcers au kiungulia
Dhana ya kupasha kiporo naona huielewi kabisa kwa jinsi ulivyojikoroga hapa katika maelezo yako.
Aliyekula kala japo kaonja......
I see, unanishangaza.
Hii sred ingeletwa na kijana anayejifunza kutongoza nisingeweka ngongwa yeyote, sasa wee unaonekana umepasha kiporo(umeoa) unakuja na sred ya hivi?
I see, unanishangaza.
Hii sred ingeletwa na kijana anayejifunza kutongoza nisingeweka ngongwa yeyote, sasa wee unaonekana umepasha kiporo(umeoa) unakuja na sred ya hivi?
Naona unatema mate kulia halafu unafukia kushoto...you're totally wrong
Kaka huu usemi wako umeniacha hoi!!!
Nahisi nimewatouch wengi...tukubali ukweli,ni mmoja kati ya mia walio haki ktk hili wengine tulianguka dhambini.full stop,wote viporooo na kiporo ni kiporo tu
mi ninavyoelewa kupasha kiporo ni ile hali unakuta mtu kashaoa au kuolewa kisha akakutana na mpenzi wake wa zamani kisha wakaduu. so ni kitendo cha kukumbushia enzi kwa wapenziHabarini,leo naomba mnijuze wanaojua,au tujuzane wote,hii dhana ya kupasha kiporo ktk mahusiano na ndoa wewe unaielewaje?kuna mawili hapa: watu kuishi pamoja miaka miwili mitatu na mtoto wao kisha wanabariki ndoa,au watu kila mmoja anaishi kwake au kwao halafu wanapeana mimba na kabla mtoto hajazaliwa wanafunga ndoa.je dhana zote zina maana moja ya kupasha kiporo au.