Kupanua na kutanua

kupanua ni kitendo cha kuongeza ukubwa, na kutanuka ni uwezo(ability) ya kupanuka.
 
kamuulize dada yako, atakupa utofauti
 
kupanua ni kumuweka mtu mguu pande huku akiwa chali na kutanua ni ku overtake gari yaani kupita service road...
 
Tungo tata.jibu lolote utalopata hapa jamvini ni sahihi kabisa
 
tofauti ya kwanza ni maandishi na pili ni matamshi.
Nalog off
 
kupanua ni kumuweka mtu mguu pande huku akiwa chali na kutanua ni ku overtake gari yaani kupita service road...


Kupanua ni kuongeza wigo wa eneo linalofanyiwa kazi (kazi yoyote) na kutanua ni kuonyesha jeuri ya kutumia fwedha kwa kula na kunywa na kujirusha sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…