Kupangiwa shule

Kupangiwa shule

jokama01

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
21
Reaction score
5
Samahano jamani mi nimefaulu kidato cha nne kwa division 3 ya point 22(kwanza)

Math -d
Eng-c
Chem-c
Hist-d
Kisw-c
Civ-c
Phy-c
Bio-c

Sasa wakubwa nlikuwa nauliza nitapata shule serikalini
 
Utapata tena vizuri kabisa ondoa shaka vuta subra.
 
Nilikua naomba kuuliza kwani wanaangalia vigezo gani
Kuanzia C tatu isiwe somo la ziada na kwenye combination uwe na point kuanzia 3 mpk 10 usiwe na F kati ya masomo hayo ya combi
 
Samahano jamani mi nimefaulu kidato cha nne kwa division 3 ya point 22(kwanza)

Math -d
Eng-c
Chem-c
Hist-d
Kisw-c
Civ-c
Phy-c
Bio-c

Sasa wakubwa nlikuwa nauliza nitapata shule serikalini
Utapata shule %100 ,,
Ila sahau comb za sayansi kwa first selection,maana kwa fist wanatumia kigezo kichokuwa rasmi Cha minimum Ni div2 ya point 20,ila kombi za Sanaa unapata bill shaka pia kwa sayans wanaweza kukuchagua kwa second selection
 
Samahano jamani mi nimefaulu kidato cha nne kwa division 3 ya point 22(kwanza)

Math -d
Eng-c
Chem-c
Hist-d
Kisw-c
Civ-c
Phy-c
Bio-c

Sasa wakubwa nlikuwa nauliza nitapata shule serikalini
Mbona madogo mna hofu sana yaani unakuta mtu amefaulu kabisa lakini presha ipo juu Sjui waliofeli wapo katika hali gani kama waliofaulu tu hali zao ndo ziko hivi
 
Back
Top Bottom