Tafuta hela uache kuilaumu serikali
Noted.Hivi hakuna mbadala wa kupata internet bila kupitia haya makampuni ya simu, kwa nini wao tu ndio wawe internet provider? Tumewachoka kila mara kupunguza mabando wakati tunaihitaji sana huduma ya internet kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo
🤣🤣Halotel ndiyo mtandao ulibakia wa wanyonge,,,,,,na wao wamezingua 😡
Tigo ndiyo limtandao la kipumbavu kuwahi kutokea kwenye sayari ya dunia
Mi nawashauri mkaze hivi hivi hata kipindi cha uchaguzi kazeni hivi hivi. Naamini hamtaathirika kwa lolote,mtashinda tu.SUBIRINI mpaka KIPINDI CHA UCHAGUZI KIKIFIKA, TUTAWAPUNGUZIA KIDIGO (yaani tutafunika kombe), ILI MWANA HARAMU APITE, baada ya hapo mwendo mdundo mpaka akili iwaingie!