bakar shomar Member Joined Dec 6, 2013 Posts 53 Reaction score 54 May 31, 2016 #1 Jaman naomba mnisaidie jinsi ya kuotesha nywele za kichwan kwa mtu mwenye uwalaza
Majestic wolf JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 1,248 Reaction score 1,853 Jun 3, 2016 #2 Kubali yaishe kaka .....ingawaje the most successful way ni surgery
M mdoghosho JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 969 Reaction score 1,391 Jul 2, 2016 #3 Kuna dawa/mafuta inaitwa HAIR ILLUSION... Google utaona, "inaotesha" nywele kwenye kipara
Sweet potato Member Joined Nov 14, 2013 Posts 60 Reaction score 24 Jul 3, 2016 #4 mfollow katarina karatu instagram utaiona hiyo dawa anaitangaza
Am good with Oriflame Member Joined Jul 11, 2016 Posts 30 Reaction score 39 Jul 18, 2016 #5 bakar shomar said: Jaman naomba mnisaidie jinsi ya kuotesha nywele za kichwan kwa mtu mwenye uwalaza Click to expand... Kuna set ya hair X huwotesha nywele 0653482355
bakar shomar said: Jaman naomba mnisaidie jinsi ya kuotesha nywele za kichwan kwa mtu mwenye uwalaza Click to expand... Kuna set ya hair X huwotesha nywele 0653482355
Senee JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 954 Reaction score 1,054 Aug 20, 2016 #6 Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. .
Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. .
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,293 Aug 26, 2016 #7 Senee said: Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. . Click to expand... Senee said: Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. . Click to expand... Alitumia kwa muda gani!?
Senee said: Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. . Click to expand... Senee said: Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. . Click to expand... Alitumia kwa muda gani!?
Msukuma wa dar JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 1,160 Reaction score 1,201 Aug 29, 2016 #8 Senee said: Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. . Click to expand... Sasa ayo maji maji unayapataje mkuu
Senee said: Tumia kitunguu maji uwe unapaka majimaji yakekwenye kipara pale kinapoanza. . Kaka yangu alikuwa anatumia na nywele ziliota vzuri tu. . Click to expand... Sasa ayo maji maji unayapataje mkuu
P Peekaboo Senior Member Joined Nov 26, 2015 Posts 102 Reaction score 46 Aug 29, 2016 #9 Tumia castor oil na tea tree oil