babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,314
- 20,906
Yoghurt inashibisha sana ileHao watu unaojuana nao kwenye vyakula hao!!!!
Kwanini fruit or yoghurt??
babukijana usitumie yoghurt ukiiona ndotoni.Yoghurt inashibisha sana ile
Ndotoni anakula nyama.. akiamka anakuwa kavimbiwa anaishia kushindia fruits na yoghurt.babukijana usitumie yoghurt ukiiona ndotoni.
babukijana na watu unaokula nao nyama unawajua, kaa mbali nao hao watu.Ndotoni anakula nyama.. akiamka anakuwa kavimbiwa anaishia kushindia fruits na yoghurt.
Ni chakula kingi sana babu yaani kila leo,babukijana na watu unaokula nao nyama unawajua, kaa mbali nao hao watu.
Unanikumbusha kisa cha jamaa mmoja aliyekwenda kuiba kwenye ofisi fulani. Katika pekua pekua yake akaingia chumba cha baridi akakutana na vichupa vimejaa yoghurt. Kwa vile alikuwa na njaa na kiu basi akafakamia vichupa zaidi ya 20 mpaka aliporidhika. Wakati anatoka ndiyo akagundua kwamba kumbe ofisi ile aliyovamia ilikuwa ni sperm bank.babukijana usitumie yoghurt ukiiona ndotoni.
Mnazungumzia "yoghurt" gani? 😳Yoghurt inashibisha sana ile
Hujui yoghurt mpendwa? Au unanileta?Mnazungumzia "yoghurt" gani? 😳
Pole aiseeNi chakula kingi sana babu yaani kila leo,
Inanishangaza sana.
Hmmm ni kama mzaha ila ni hatari sana hii! Ndoto za kuota unakula au unalishwa ni mbaya sana!Hizi ndoto zinasumbua sana sana,
Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc
Na kunakuwepo chakula kingi sana
Na watu wote nawaona tunajuana kabisa
hata jana nimeota nakula tilapia choma mkubwa tu.
Na best friend.
Problem nikiamka,sijiskii kula Chochote
,tumbo limejaa gesi balaa yaani nimevimbiwa.
Naweza kaa siku 2- 3
Naishia kunywa maji tu.
Labda ntagusa fruit na yoghurt.
Namwaga vyakula daily,
maana vinaharibika huku nimepika safi kwa roho moja.
Mwili wangu ka muwa( kijiti)
Sielewi hili jambo.
Siombi ushauri,
changia panapofaa.
Ndotoni si yoghurt ni chakula haswa,kingi tubabukijana usitumie yoghurt ukiiona ndotoni.
usijali! We endelea kulala, utakula unachokiota!Hizi ndoto zinasumbua sana sana,
Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc
Na kunakuwepo chakula kingi sana
Na watu wote nawaona tunajuana kabisa
hata jana nimeota nakula tilapia choma mkubwa tu.
Na best friend.
Problem nikiamka,sijiskii kula Chochote
,tumbo limejaa gesi balaa yaani nimevimbiwa.
Naweza kaa siku 2- 3
Naishia kunywa maji tu.
Labda ntagusa fruit na yoghurt.
Namwaga vyakula daily,
maana vinaharibika huku nimepika safi kwa roho moja.
Mwili wangu ka muwa( kijiti)
Sielewi hili jambo.
Siombi ushauri,
changia panapofaa.