Kuota ndoto kunasababishwa na nini?

Kuota ndoto kunasababishwa na nini?

riro23

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
790
Reaction score
781
kuota ndoto kunasababishwa na nini? je kwanini MTU anaota ndoto halafu kitu alichokiota kinatokea na si mganga wa kienyej,je anayeleta taarifa kwenye ndoto ni nani na anajuaje kuna tukio litakalotokea,?
 
Ndoto ni muendelezo wa mawazo yako ya kutwa nzima, kwa hyo mara nyingi usiku huwa unaendeleza mawazo yako tu
 
kunatokana na mawazo unayowazia kutwa nzima ila kugegedana nisuala la mtu mwenyewe
 
kuota ndoto kunasababishwa na kulala
ukilala ndio unaota hutaki andamana maana hakuna jinsi
 
Kuna ndoto zinazotikana na mawazo na kuna ndoto huja inategemeana na ulivolala mfano mtu anaweza ota ndoto anakimbizwa halafu anashindwa kukimbia na kupiga kelele ,wengi wao unakuta alijikunja wakati alikuwa kalala
 
Back
Top Bottom