Kuongeza Ram katika desktop

Abdul Bilal

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
88
Reaction score
15
Swali jamani
Nina desktop yenye Ram ya Gb 4, sasa nataka niwe na Gb 8 bila ya kutoa hii ya sasa, je, naweza tafuta Gb 4 nyingine au Gb 2 mbili nikapachika???
Shukran sana
 
Swali jamani
Nina desktop yenye Ram ya Gb 4, sasa nataka niwe na Gb 8 bila ya kutoa hii ya sasa, je, naweza tafuta Gb 4 nyingine au Gb 2 mbili nikapachika???
Shukran sana
inategemea na aina ya mother board na ram ambayo unayo hapo.

kuna motherboard za slot 4 na za slot mbili (mainstream).

-kama ni slot mbili na una ram ya 4GB moja ina maana unaweza ukanunua ya 4GB nyengine na kisha ukaeka zikawa 8GB

-kama ni slot mbili na zote zimeekwa ram mbili za 2GB hapo itabidi uchomoe moja ya 2GB na ueke 4GB ziwe 6GB au uchomoe zote ueke mbili za 4GB au ueke 2GB na 8GB ziwe 10GB

-kama ni slot 4 haina tabu hapo hata upachike vya 2GB vinne utapata hio 8GB.

pia ukumbuke mkuu vitu hivi.
1. ujue aina za ram kama ni ddr3, ddr4, ddr2 etc kila motherboard na aina zake za ram
2. kama ram moja ina speed ndogo itakwamisha ram yenye speed kubwa na zote zitasoma speed ndogo kwenye dual chanell au quad chanell operation.
 
Nimekupata chief
Hapa nina slot kama nne hivi
Umenichekesha hapo kama ni slot 4 unaweza vipachika vya gb 2
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nimekupata chief
Hapa nina slot kama nne hivi
Umenichekesha hapo kama ni slot 4 unaweza vipachika vya gb 2
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
yap kama hela inasumbua 2GB ni rahisi. mfano huku Bongo unazipata kirahisi 15,000 hivyo kwa 8GB 60,000 inatosha. ila ukitaka ya slot moja 8GB utaambiwa 100,000 kupanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…