Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
kumbe vifurushi vya cheka bado vipo??? duuk kitambo sana kabla hata sijaanza kutumia simu
 
Labda kama umependa mwenyewe tu kuongea au kuchati. kwanza unaweza kuamua kutopokea simu au kutosoma sms zake. ikitokea bahati mbaya umepokea ni kumkatia simu tu, atasepa mwenyewe,

Sio siri hata mimi sipendi kongea na simu na mtu nisiyependezwa nae. nitatafuta mbinu yeyote mazungumgumzo yawe mafupi
Huyu wa kwangu ni balaaa sijajibu sms zake sasa ni mwaka ila kila siku anapiga anatuma sms hakati tamaaa
 
Back
Top Bottom