Kuondolewa Machinga Mijini

acha ujinga, unajua kabisa MWENDAZAKE NDIYE ALIYEWAAMBIA WATOKE HUKO kibondo, mchinga, namtumbo kuja Dar kupanga barabarani for cheap political popularity alau leo unawaambia watendaji wa mtaa? mbona hamuwapi majukumu y KUKUSANYA FEDHA HAO WATENDAJI? MAMBO YA LAWAMA MNAWAPA WAO, YENYE TIJA MJIPE wenyewe?

Serikali ipambane na hali yake.
 
Tuliipotosha maana halisi ya mmachinga.huyo ni mtu aisye na mahali pa kufanyia biashara yaani anatembeza biashara zake.sasa hiv hata mama ntilie ni mmachinga
Umeona eeeh,Hawa wengine ni wakwepa Kodi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…