shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Maandalizi ya utekelezaji wa zoezi hasa maeneo mbadala Kwa mwenye updates tasafali.Swala la machinga mijini limekua ni tatizo hasa kipindi cha awamu ya tano.
Tatizo hili linakua kwa kasi kwa sababu ya aina ya viongozi tulio nao.
Tanzania tuna viongozi kuanzia ngazi ya shina hadi taifa.
Sasa jiulize hawa watendaji wa mtaaa wanafanya nini.
Nashauri Mkuu wa mkoa Dar hangaika na watendaji watakaoshindwa kusimamia uondoshwaji wa machina sehemu zao.
Kesho ni 18/10 siku ambayo ni mwisho kwa machinga barabarani jijini Dar.
Kuanzia hapo pata taarifa toka kila mtendaji wa mtaa kuliko na machinga na chukua hatua
Walishaelekezwa maeneo mbadala,.Maandalizi ya utekelezaji wa zoezi hasa maeneo mbadala Kwa mwenye updates tasafali.
Walishaelekezwa maeneo mbadala,.
Machinga complex, magomeni,kisutu, bunju sokoni nk
Wanatupiga sound tu.
Hivi hadi wale wa Kariakoo watawatoa?
Tuliipotosha maana halisi ya mmachinga.huyo ni mtu aisye na mahali pa kufanyia biashara yaani anatembeza biashara zake.sasa hiv hata mama ntilie ni mmachingaSwala la machinga mijini limekuwa ni tatizo hasa kipindi cha awamu ya tano.
Tatizo hili linakua kwa kasi kwa sababu ya aina ya viongozi tulio nao.
Tanzania tuna viongozi kuanzia ngazi ya shina hadi taifa.
Sasa jiulize hawa watendaji wa mtaaa wanafanya nini.
Nashauri Mkuu wa mkoa Dar hangaika na watendaji watakaoshindwa kusimamia uondoshwaji wa machina sehemu zao.
Kesho ni 18/10 siku ambayo ni mwisho kwa machinga barabarani jijini Dar.
Kuanzia hapo pata taarifa toka kila mtendaji wa mtaa kuliko na machinga na chukua hatua
Kama movie vile. Zoezi lianze asubuhi mapemaaaa kabla hawajaanza kuweka makorokocho yao.Why wasitolewe?
Hivi wewe unajia pesa ya wamachinga wanayoingiza kwa siku pale kariakoo? Kwa taarifa yako pale kariakoo watu wanamiliki barabara wanachukua kodi kila sikuTatizo ni serikali inajenga miundo mbinunisiyo rafiki kwa shughli za wananchi nchi..
Unajenga jengo kama la kisutu kisha unasema aje machinga kuuza wakati faida yake kwa siku ni ndogo kuliko ada ya pango kwa siku.
Machinga wanatakiwa kujengewa masoko sipo yanayo chukua eneo kubwa, na huduma kama za usafiri ziwepo..
Na hii inatakiwa kuwa sera kwamba kila mtaa uwe na eneo la soko na lisiwe karibu na mainroad.
Mfano ni mawasiliano, makumbusho etc.
Kama movie vile. Zoezi lianze asubuhi mapemaaaa kabla hawajaanza kuweka makorokocho yao.
Zoezi tunalianza Leo tandika kuanzia sa 7ππππKama movie vile. Zoezi lianze asubuhi mapemaaaa kabla hawajaanza kuweka makorokocho yao.
Kuwaondoa kwa nguvu wamachinga kunahitaji hekima sana la sivyo kutazalisha vijana wengi wasio na kazi mitaani mwisho uhalifu kuongezekaNgoja tuone itakuaje...