Ukiondolewa kizazi huwezi kubleed na huyo rafiki yako hujatuambia kama anableed umesema anatoka uchafu. Na kama ni kweli anaona damu aende hospitali haraka kuchekiwa. Kizazi kinaweza kuondolewa ila cervix ikaachwa so bado anakuwa na risk ya kupata cervical cancer ambayo presentation kubwa ni abnormal per vaginal bleeding