Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
MPE mshahara wako wote bila kumwambia, ona anakaa nao muda gani, ndio utamjua kama ni Bomu au ni maliWadau hasa wanaume wenye kipato cha kawaida, ni kwa kiasi gani utam-judge mwanamke anapenda hela sana au la, kipindi cha uchumba
Sent using Jamii Forums mobile app
🔨🔨🔨🔨Nje kidogo ya mada...
Mwanamke asieomba chochote anastahili kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app