Barantogwa
Senior Member
- May 3, 2014
- 135
- 179
Je, nikioga maji ya motoMwili unakua na joto la juu ukishatoka kufanya mazoezi, moyo unakua unasukuma damu kwa kasi ili izunguke mwilini kuupoza na kupeleka Oxygen katika kila kona ya mwili, ukioga ghafla maji baridi unaulazimisha upoe kwa haraka na upunguze msukumo wa damu kwa haraka.
Madhara yake unaweza ukapata mshtuko wa moyo, na moyo ukasimama kufanya kazi (ukafa). Unapaswa ukae kwanza mpaka mwili ushuke joto ndio ukaoge.
Maji ya moto ni mazuri kuoga baada ya mazoezi, kwanza yanasaidia mzunguko wa damu mwilini, pia yanaongezea ngozi joto na kufanya damu isukumwe kwenye ngozi, yanalainisha misuli na kusafisha ngozi ya mwili (kwa kufungua matundu ya ngozi yanayotumika kutolea jasho na uchafu). Ndio maana ukitoka kufanya mazoezi ukaoga maji ya moto unajihisi mwili mwepesi na unajihisi vizuri.Je nikioga maji ya moto
Unakuwa kama umejifunguaJe nikioga maji ya moto
Ahsante Sana mkuu kwa ushauli wako, Jehovah MUNGU akubaliki.Mwili unakua na joto la juu ukishatoka kufanya mazoezi, moyo unakua unasukuma damu kwa kasi ili izunguke mwilini kuupoza na kupeleka Oxygen katika kila kona ya mwili, ukioga ghafla maji baridi unaulazimisha upoe kwa haraka na upunguze msukumo wa damu kwa haraka.
Madhara yake unaweza ukapata mshtuko wa moyo, na moyo ukasimama kufanya kazi (ukafa). Unapaswa ukae kwanza mpaka mwili ushuke joto ndio ukaoge.
Mwili unakua na joto la juu ukishatoka kufanya mazoezi, moyo unakua unasukuma damu kwa kasi ili izunguke mwilini kuupoza na kupeleka Oxygen katika kila kona ya mwili, ukioga ghafla maji baridi unaulazimisha upoe kwa haraka na upunguze msukumo wa damu kwa haraka.
Madhara yake unaweza ukapata mshtuko wa moyo, na moyo ukasimama kufanya kazi (ukafa). Unapaswa ukae kwanza mpaka mwili ushuke joto ndio ukaoge.