Jamani naomba kujua je kuoa wake wengi ni ulijari au ujinga??
Oa ili uje na jibu sahihiJamani naomba kujua je kuoa wake wengi ni ulijari au ujinga??
Ukioa utapata jibu linalokufaa... Kila mmoja analo lakeHapo umezid kunichanganya kabisa
Wengine bwana na wao waonekane wamesnzisha uziHapo umezid kunichanganya kabisa
ni ushababi tu mkuu!Jamani naomba kujua je kuoa wake wengi ni ulijari au ujinga??
Acha ujinga wwTafadhari msichafue dini za wapi !mtoa madaa ametumia lugha ya picha akimaanisha
Hakuna jibu apoJamani naomba kujua je kuoa wake wengi ni ulijari au ujinga??