Kuoa sio lazima

Wengi hawaufagilii ujinga huo watakupa kichapo cha kufa mtu kisha wakutembeze kitaa ukiwa uchi wa binadamu. Utatamani ardhi ipasuke uingie humo usirudi tena. Jiji utaliona chungu.

Kizuri kula na mwenzio!
 
Sio bure kaoge huyu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wengi hawaufagilii ujinga huo watakupa kichapo cha kufa mtu kisha wakutembeze kitaa ukiwa uchi wa binadamu. Utatamani ardhi ipasuke uingie humo usirudi tena. Jiji utaliona chungu.
Sasa kwa taarifa yako hao ndio wanaongoza kwa kuliwa na huo mkwara uliozungumzia wanaangaliaga na sura! Usizani kila mtu unaweza kumpa kichapo jiangalie..... unaweza jikuta unapata kichapo wewe!
 
Umeshataadharishwa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu. Ole wako umeshaonywa na asiyesikia maonyo basi mabaya humfika. Bora ukaokote mandaza corner bar kuliko kutaka kufuata wake za watu.

[HASHTAG]#Basibanandoivo[/HASHTAG][emoji124] [emoji124]
 
Umeshataadharishwa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu. Ole wako umeshaonywa na asiyesikia maonyo basi mabaya humfika. Bora ukaokote mandaza corner bar kuliko kutaka kufuata wake za watu.
Huwezi Kunipa tahadhari Mimi wakati huna uhakika, japokuwa jambo hilo linafanywa na wengi labda uweke matangazo kuwakumbusha wenye tabia hiyo lakini pia kumbuka hata sheria zimewekwa ili zivunjwe.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…