Kuoa sio lazima

Nishajua KANDAMIZIO BOVU! ha hahaaa hata kwa konzi hali nyanyuki
 
Sawa,we piga na kusepa,waliooa watashiriki kukufukia maana bila ndoa inawezekana ukaishia kwenye magojwa,japo hata walio na ndoa huweza kupata magonjwa lakini si kama mtu mwenye hajaoa,kulingana na mihemko ya kimaumbile utakua huna pa kupunguzia hamu zako na utajikuta unabadilisha kila siku wanawake na ukawa mtu ulie ktk risk kubwa ya kupata kale kaugonjwa
 
Mimi nikiwa kwenye najiona niko katika risk zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…